iqna

IQNA

Mtazamo
IQNA – Mkataba wa Abrahamu wa Trump (ujulikanao pia kama "UAbrahamu wa Trump"), ambao unalenga kudhoofisha dini na haki za kitaifa za Wapalestina, hauwezi kufikia malengo yake, kwa mujibu wa mchambuzi wa kisiasa kutoka Lebanon.
Habari ID: 3480922    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/09

Mkuu wa ICRO
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu Iran (ICRO) amesema, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapaswa kutekeleza majukumu yake kuhusiana na Fatuwa ambayo imetolewa na wanazuoni wa Kiislamu ya kuharamisha kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473281    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/21

TEHRAN (IQNA) – Qatar imesema katu haitafuata nyao za majirani zake yaani tawala za Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambazo zimeanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473172    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/15